Hii ni orodha ya Mikoa (Kiingereza: provinces) ya Zambia:

mikoa ya Zambia

Mikoa hariri

Mkoa[1] Mji mkuu Eneo (km²) Idadi ya wakazi Densiti (/km²) Wilaya
Copperbelt (Copperbelt)[2] Ndola 31.328 1.581.221 50,5 10
Kaskazini (Northern) Kasama 147.826 1.258.696 8,5 7
Kaskazini-Magharibi (North-Western) Solwezi 125.827 583.350 4,6 12
Kati (Central)[3] Kabwe 94.395 1.012.257 10,7 6
Kusini (Southern) Livingstone 85.283 1.212.124 14,2 11
Luapala (Luapala) Mansa 50.567 775.353 15,3 7
Lusaka (Lusaka)[3] Lusaka 21.898 1.391.329 63,5 4
Magharibi (Western)[2] Mongu 126.386 765.088 6,1 7
Mashariki (Eastern) Chipata 69.106 1.306.173 18,9 8
Zambia Lusaka 752,616 9.885.591 13.1 72

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Gwillim Law. Zambia Provinces. Iliwekwa mnamo 2007-11-02. (Population figures are from the census of 2000).
  2. 2.0 2.1 The Copperbelt province was known as Western Province until 1969. At the same time the name of the Barotseland province was changed to Western province.
  3. 3.0 3.1 Lusaka province was split from Central province in 1973. Initially Lusaka province was only 360 km², but by 1988 it had been enlarged to its present size.


 
Mikoa ya Zambia
 
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki
+/-