Mkoa wa Bahari Nyekundu Kusini

Bahari Nyekundu Kusini ni mkoa wa Eritrea unaoenea hadi mpaka wa Jibuti.

Ramani ya Mkoa wa Bahari Nyekundu Kusini.

13°45′N 41°30′E / 13.750°N 41.500°E / 13.750; 41.500

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bahari Nyekundu Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.