Mkoa wa Lagunes (kwa Kifaransa: Région des Lagunes) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika Kusini ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 3.733.362. [1]

Mkoa wa Lagunes
Mahali paMkoa wa Lagunes
Mahali paMkoa wa Lagunes
Mahali pa Mkoa wa Lagunes katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 5°25′N 4°20′W / 5.417°N 4.333°W / 5.417; -4.333
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 7
Mji mkuu Abidjan
Eneo
 - Jumla 12.949 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 3.733.362
GMT (UTC+0)

Kuna tarafa saba ambazo ni

Makao makuu yako Abidjan.

Marejeo hariri

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na