Mkoa wa Pwani (Benin)

Mkoa wa Pwani (kwa Kifaransa: Littoral) ni moja ya mikoa kumi na mbili ya Benin. Ndio mkoa mdogo zaidi kati ya mikoa yote nchini. Una manispaa moja tu ambayo ni mji mkuu Cotonou, jiji kubwa zaidi nchini na kitovu cha uchumi wake.

Mahali pa mkoa nchini Benin.

Littoral ilitengwa mkoa wa Atlantique mnamo 1999.