Sakarya ni jina la mkoa uliopo katika eneo la pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Mkoa unapakana na baadhi ya mikoa kama vile Kocaeli kwa upande wa magharibi, Bilecik kwa upande wa kusini, Bolu kwa upande wa kusini-mashariki, na Düzce kwa upande wa mashariki. Mji mkuu wa Sakarya ni Adapazarı.

Mkoa wa Sakarya
Maeneo ya Mkoa wa Sakarya nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Marmara
Eneo: 4,895 (km²)
Idadi ya Wakazi 756,168 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 54
Kodi ya eneo: 0154
Tovuti ya Gavana http://www.sakarya.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/sakarya

Wilaya za mkoani hapa hariri

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sakarya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.