Mkoa wa Wele ya Juu ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,920,867. Mji mkuu ni Isiro.

Mkoa wa Wele Juu
Wɛlɛ ya Likólo / Haut-Uele
Mahali paMkoa wa Wele Juu Wɛlɛ ya Likólo / Haut-Uele
Mahali paMkoa wa Wele Juu
Wɛlɛ ya Likólo / Haut-Uele
Mahali pa Mkoa wa Wele Juu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 02°52′N 27°40′E / 2.867°N 27.667°E / 2.867; 27.667
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 6
Mji mkuu Isiro
Serikali
 - Gouverneur
Eneo
 - Jumla 89,683 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 1,920,867

Picha za Wele Juu hariri

Angalia Pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Wele Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:



 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
 
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-