Mkoa wa Yalova ni jina la mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki, kwenye upande wa mashariki mwa pwani ya Bahari ya Marmara. Mikoa inaypakana na mkoa huu ni pamoja na Bursa kwa upande wa kusini na Kocaeli kwa upande magharibi. Mji mkuu wa mkoa huu ni Yalova. Idadi ya wakazi wa moani hapa ni 188,440.

Mkoa wa Yalova
Maeneo ya Mkoa wa Yalova nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Marmara
Eneo: 847 (km²)
Idadi ya Wakazi 185,266 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 77
Kodi ya eneo: 0432
Tovuti ya Gavana http://www.yalova.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/yalova

Wilaya za mkoani hapa hariri

Mkoa wa Yalova umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Yalova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.