Mlima Sanford ni mlima wa volikano katika jimbo la Alaska (Marekani) wenye urefu wa mita 4,949.

Mlima Sanford

Uko katika safu ya Milima Saint Elias.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Sanford kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.