Mohamed Abdullahi Mohamed

Mohamed Abdullahi Mohamed (kwa Kisomali: Maxamed Cabdullahi Maxamed, kwa Kiarabu: محمد عبدالله محمد‎; pia anajulikana kama Farmaajo, kutoka neno la Kiitalia kwa jibini; alizaliwa 11 Machi 1962), ni mwanasiasa wa Somalia ambaye amehudumu kama Rais wa 9 na wa sasa wa Somalia tangu tarehe 16 Februari 2017.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Abdullahi Mohamed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.