Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi (amezaliwa 21 Julai 1962) ni Rais wa tano na wa sasa wa Botswana, amehudumu tangu mwaka 2018.

Picha yake.

Aliwahi kuwa Waziri wa Elimu tangu mwaka 2014, na hapo awali alikuwa Waziri wa Mambo ya Rais na Utawala wa Umma kuanzia mwaka 2011 hadi 2014. Alichaguliwa kwa Bunge la kwanza mnamo 2009.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mokgweetsi Masisi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.