Morioka (盛岡市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Iwate. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 300 000 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Morioka








Morioka
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Tōhoku
Mkoa Iwate
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 298,185
Tovuti:  www.city.morioka.iwate.jp

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Morioka, Iwate kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.