Mto Daugava (pia: Dvina ya Magharibi) ni mto nchini Urusi unaoanza kwenye Milima ya Valdai.

Mto Daugava

Inapita Urusi, Belarusi, na Latvia na kuingia katika Ghuba ya Riga.

Urefu wa mto huu ni km 1,020[1]: km 325 ziko nchini Urusi, km 338 ziko Belarusi na km 352 ziko Latvia.

Ndani ya Latvia Daugava inapita miji ya Latgale, Zemgale, Vidzeme na Riga, kabla ya kuishia kwenye Ghuba ya Riga. [2]

Marejeo hariri

  1. Main Geographic Characteristics of the Republic of Belarus. Main characteristics of the largest rivers of Belarus. Land of Ancestors. Data of the Ministry of Natural Resources and Environmental Protection of the Republic of Belarus. (2011). Iliwekwa mnamo 27 September 2013.
  2. Introducing Daugava River Valley. Lonely Planet. Iliwekwa mnamo 5 February 2016.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Daugava kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.