Mto Donga ni mto uliopo katika nchi ya Nigeria na Kameruni.

Kanda ya magharibi ya Kamerun. Mto wa Donga kaskazini.

Mto huo chanzo chake kinapatikana katika Mambilla Plateau huko Nigeria Mashariki, ndiyo sehemu ya mpaka wa kimataifa kati ya nchi ya Nigeria na Kameruni, na unapita kaskazini magharibi, baadaye unaishia katika Mto Benue huko Nigeria.

Beseni la Donga ni la kilomita za mraba 20,000 (7,700 sq mi) katika eneo hilo. Katika kilele chake, unapita karibu na Mto Benue huo hutoa mita za ujazo 1,800 (futi 64,000) ya maji kwa sekunde[1].

Katika Jimbo la Taraba nchini Nigeria, kuna hifadhi tatu (3) za misitu ambao niːBaissa, Amboi na Mto Bissaula, kwenye bonde la mto Donga. ambao unaishia kwenye mteremko chini ya Plateau ya Mambilla, kusini-magharibi mwa Hifadhi ya Kitaifa ya Gashaka Gumti.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Donga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.