Mto Kikuletwa ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa kaskazini mashariki).

Unatiririka hadi bwawa la Nyumba ya Mungu. Halafu maji yake yanaelekea Bahari ya Hindi kupitia mto Pangani.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri