Mto Laga Kore ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Marsabit, kaskazini magharibi mwa Kenya (eneo la Bonde la Ufa la Afrika Mashariki).

Maji yake yanaishia katika mto Jubba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri