Mto Lugogo unapatikana kwanza katika wilaya ya Buikwe na wilaya ya Mukono, mkoa wa Kati, nchini Uganda.

Mito na maziwa ya Uganda.

Ni tawimto la Mto Kafu ambao unaingia katika Nile ya Viktoria na kwa njia hiyo maji yake yanafikia Bahari ya Kati.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri