Mto Zamfara ni mto ulioko kaskazini mwa Nigeria. Kuna majina tofauti katika majimbo ambayo unapitia, baadhi ni baadhi ya majimbo hayo ni Gulbi Gindi, Gulbi Zamfara, Mto Zamfara na Mto Gindi.[1]

Mto Zamfara

Unatokea katika Jimbo la Zamfara. Una urefu wa kilomita 250 katika Jimbo la Kebbi ambapo unaungana na Mto Sokoto umbali wa kilomita 50 kusini magharibi mwa Birnin Kebbi.

Mto wa Zamfara unaanza katika eneo ambalo ni mita 188 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Zamfara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.