Muğla ni jina la mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Muğla, ambayo imekuja hadi katika pwani ya Bahari ya Aegean upande wa kusini-magharibi mwa nchi. Mji upo m 660 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Muğla


Muğla
Nchi Uturuki
Mkoa Aegean
Jimbo Muğla
Idadi ya wakazi (2000)
 - Wakazi kwa ujumla 83,511
Tovuti:  www.mugla.gov.tr

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Muğla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.