Murakami wa Japani

Murakami (14 Julai, 9265 Julai, 967) alikuwa mfalme mkuu wa 62 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nariakira, na alikuwa mwana wa kumi na nne wa Tenno Daigo. Mwaka wa 946 alimfuata kaka yake, Tenno Suzaku, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Reizei.

Mchoro wa Murakami

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Murakami wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.