Mwadini Abbas Jecha

Mwanasiasa wa tanzania

Mwadini Abbas Jecha (amezaliwa tar. 15 Oktoba 1959) ni Mbunge wa jimbo la Wete katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia hariri

[2]

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Mwadini Abass Jecha". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 
  2. https://peoplepill.com/people/mwadini-abbas-jecha/

Viungo vya nje hariri