Kwa kata nyingine yenye jina hilo, tazama Mwaniko (Misungwi).

Mwaniko ni kata ya Wilaya ya Mwanga katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.

Utawala hariri

Kata ya Mwaniko inaundwa na vijiji vitano ambavyo ni Mangio, Mriti, Mwaniko, Ngofi na Vuchama.

Wakazi hariri

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,272 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,741 [2] walioishi humo.

Elimu hariri

Kata ya Mwaniko ina shule nne: mbili ni za binafsi, ambazo ni Mangio na Vuchama Islamic, na mbili za Serikali, ambazo ni Chaangaja Cleopa Msuya na Ubang'i pia ina shule saba za msingi ambazo ni Mriti, Chimbi, Mcheni, Mangio, Vuchama, Managugu na Kiriveni.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Mwanga DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-27. 
  Kata za Wilaya ya Mwanga - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania  

Chomvu | Jipe | Kifula | Kighare | Kigonigoni | Kileo | Kilomeni | Kirongwe | Kirya | Kivisini | Kwakoa | Lang'ata | Lembeni | Mgagao | Msangeni | Mwanga | Mwaniko | Ngujini | Shighatini | Toloha

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mwaniko (Mwanga) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.