Nagoya (名古屋市, Nagoya-shi) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Aichi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao milioni 2.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 326.45 km².

Nagoya

Bendera
Nagoya is located in Japan
Nagoya
Nagoya

Mahali pa mji wa Nagoya katika Japani

Majiranukta: 35°11′00″N 136°54′00″E / 35.18333°N 136.90000°E / 35.18333; 136.90000
Nchi Japani
Kanda
Mkoa Aichi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,258,804
Tovuti:  http://www.city.nagoya.jp/
Mji wa Nagoya
Mahali pa Nagoya katika Aichi na Japani

Viungo vya nje hariri

  • (Kijapani) (Kiingereza) (Kichina) (Kikorea) (Kihispania) (Kireno) (Kiitalia) {{[[Template:{{{1}}}|{{{1}}}]]}} Tovuti
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nagoya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.