Nanga Parbat ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,125 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Mlima Nanga Parbat

Kilele chake kipo katika nchi ya Pakistan.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nanga Parbat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.