Nasaba ya Chou ilikuwa nasaba ya kifalme ya Uchina. Ilidumu kuanzia mwaka wa 1111 KK hadi 255 KK. Baadhi ya Makaisari wa Chou kulikuwa na Wen-wang, Wu-wang, Huan Kung na Wen Kung.

Nasaba ya Chou

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nasaba ya Chou kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.