Nasaba ya Flavia ilikuwa nasaba ya Makaizari wa Roma. Ilidumu kuanzia 69 hadi 96 chini ya utawala wa Vespasian, Titus na Domitian.

Familia ya Kiflavia

Tazama pia hariri