Nasaba ya Sui ilikuwa nasaba ya kifalme ya Uchina. Ilidumu kuanzia mwaka wa 581 hadi 618. Nasaba hiyo ilikuwa na Makaisari wawili tu: Wen-ti, na Yang-ti.

Nasaba ya Sui

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nasaba ya Sui kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.