Natasha Trethewey (amezaliwa 26 Aprili 1966) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2007 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Natasha Trethewey, 2013

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Natasha Trethewey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.