Naucalpan (pia: Naucalpan de Juárez) ndiyo mji mkubwa wa tatu jimboni la Mexico. Kuna wakazi 792,226, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 821,442. Mji upo m 930 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 184 km².

Sehemu ya Mji wa Naucalpan



Jiji la Ciudad Naucalpan
Nchi Mexiko
Jimbo Mexico
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 792.226
Tovuti:  www.naucalpan.gob.mx

Mji ulianishwa mwaka 1574.

Alama ya Naucalpan


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Naucalpan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.