Navassa ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Haiti ambacho kinadaiwa na nchi hiyo tangu mwaka 1801 kuwa ni chake lakini kinatawaliwa na Marekani tangu mwaka 1857.[1][2][3][4]

Navassa kutoka angani.

Kisiwa kina eneo la kilometa mraba 5.4 lakini hakina wakazi wa kudumu.

Tanbihi hariri

  1. An America Territory in Haiti Archived 2015-02-03 at Archive.today, Posted September 29, 2011, CNN iReport
  2. Serge Bellegarde (October 1998). Navassa Island: Haiti and the U.S. – A Matter of History and Geography. windowsonhaiti.com. Iliwekwa mnamo February 6, 2008.
  3. Haiti: Constitution, 1987 (English translation).
  4. Rohter, Larry (October 19, 1998). Whose Rock Is It? Yes, the Haitians Care. Port-au-Prince Journal. The New York Times. Iliwekwa mnamo January 28, 2012.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Navassa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.