Nelson, New Zealand

Nelson (Kimaori: Whakatū) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 45,500 (2010). Iko upande wa kusini wa kisiwa. Eneo lake ni 445 km². Mji ulinazishwa mwaka 1841.

Nelson / Whakatū

Mji wa Nelson (New Zealand)
Habari za kimsingi
Mkoa Nelson-Tasman
Anwani ya kijiografia Latitudo: 41°17′5″0 - Longitudo: 173°17′0″E
Eneo 445 km²
Wakazi 45,500 (mji pekee)
59,800 (pamoja na rundiko)
Msongamano wa watu watu 102.2 (mji pekee) kwa km²
Simu +64 (nchi), 03 (mji)
Mahali

Viungo vya nje hariri



  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.