New Orleans Pelicans

Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani

New Orleans Pelicans ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini New Orleans, Louisiana. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Zion Williamson

Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu New Orleans Pelicans kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.