Nicolás Maduro Moros (amezaliwa 23 Novemba 1962) ni mwanasiasa aliyekuwa Rais wa Venezuela tangu mwaka 2013, na urais wake chini ya mzozo tangu 2019.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicolás Maduro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.