Nijo (31 Julai, 11435 Septemba, 1165) alikuwa mfalme mkuu wa 78 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Morihito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Go-Shirakawa. Mwaka wa 1158 alimfuata babake na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1165, muda mfupi kabla ya kifo chake kupitia ugonjwa. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Rokujo.

Mchoro wa Nijo

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nijo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.