Nikola wa Tolentino

Nikola wa Tolentino, O.S.A., (kwa Kiitalia San Nicola da Tolentino) (Sant'Angelo, 1246 hivi - 10 Septemba 1305), alikuwa padri maarufu kwa maisha ya kiroho.

Nikola wa Tolentino

Alitangazwa na Papa Eugeni IV kuwa mtakatifu tarehe 5 Juni 1446.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.