Nil Sorsky (takriban 14331508) alikuwa mmonaki kutoka nchi ya Urusi. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nikolay Maykov.

Picha takatifu ya Nil Sorsky.

Aliandika vitabu vya maisha ya kiroho.

Ametambuliwa kuwa mtakatifu ndani ya Kanisa la Kiorthodoksi, hasa kule Urusi.

Sikukuu yake ni tarehe 7 Mei.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.