Ninian (pia: Ringan au Trynnian; 360-432) alikuwa askofu aliyefanya umisionari kati ya Wapikti wa Uskoti wa leo[1].

Mt. Ninian kama mbombezi ("Ora pro nobis, Sancte Niniane").

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Todd, James Henthorn (1863), "The Epistle on Coroticus", St. Patrick, Apostle of Ireland, Dublin: Hodges, Smith, & Co. (published 1864), p. 384 
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

Viungo ya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.