Niseta Mgoti (pia: Nikita; kaskazini kwa mto Danubi[1], 340 hivi - 370 hivi) alikuwa Mkristo wa kabila la Wagoti aliyeuawa na mfalme Atanariki kwa ajili ya imani yake ya Kikatoliki kwa kuchomwa moto[2][3].

Picha takatifu ya Mt. Nikita, karne ya 16.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.