Niseta wa Medikion

Niseta wa Medikion (Kaisarea ya Bitinia, leo nchini Uturuki, 760 hivi - Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 3 Aprili, 824) alikuwa abati wa monasteri ya Medikion aliyedhulumiwa sana na kufungwa gerezani na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kutetea heshima kwa picha takatifu[1][2].

Mchoro mdogo katika Menologion of Basil II.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Aprili[3][4] .

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.