Nouadhibou (Ar. ‏نواذيبو‎ nuadhibu, jina la zamani Port-Étienne) ni mji mkubwa wa pili nchini Mauretania na bandari kubwa ya nchi hiyo. Iko kwenye rasi inayoingia katika Bahari Atlantiki na kilomita chache kusini ya mpaka wa Sahara Magharibi.

Kituo cha Mji wa Nouadhibou


Nouadhibou
Nouadhibou is located in Mauritania
Nouadhibou
Nouadhibou
Majiranukta: 20°56′0″N 17°2′0″W / 20.93333°N 17.03333°W / 20.93333; -17.03333
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 90,000

Idadi ya wakazi ni takriban watu 80,000. Mji ni kitovu cha kiuchumi kwa sababu ya bandari inayohudumia taifa lote pamoja na kuwa mahali pa kupeleka madini ya chuma ya Zouérate kwenda soko la dunia. Upande mwingine wa uchumi ni uvuvi.

Mji ulianzishwa mwaka 1906 na wakoloni Wafaransa kama kituo cha uvuvi kwa jina la Port Etienne.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.