Nusukaputi (kwa Kiingereza General anaesthesia, kutoka maneno ya Kigiriki a-, "bila" na aesthetos, "inayoonekana, inayoweza kujisikia") ni dutu ambayo madaktari hutumia kuwawekea watu. Lengo ni kuondoa maumivu, au kufanya kwenda kwenye usingizi mzito kabisa wakati wa upasuaji.

Mgonjwa akiwa emewekewa gesi ya chroloform wakati wa upasuaji

Nusukaputi inaweza kupakwa kwenye ngozi, iliyotolewa na sindano au, kupewa gesi ya kupumua. Nusukaputi inawezesha wagonjwa kufanyiwa upasuaji na taratibu nyingine bila dhiki na maumivu ambayo kwa kawaida wangejisikia.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nusukaputi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.