Nyanda za Juu za Bie

Nyanda za Juu za Bie ziko kwenye kitovu cha nchi Angola. Zinapanda hadi ya kuwa na kimo cha 2,619 m juu ya UB.

Kutokana na kiasi kikubwa cha mvua kinachopatikana hapa eneo ni chanzo cha mito mingi muhimu ya Afrika ya Kusini na Afrika ya Kati.

Mito muhimu inayoanza Nyanda za Juu za Bie hariri

  • Zambezi ikitokea kaskazini inapita karibu na Nyanda za Juu za Bie na kupokea sehemu ya maji yake hapa.


Mji mkubwa katika eneo ni Huambo (zamani: Lisbon mpya)