Omar Mascarell González (amezaliwa 2 Februari 1993) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani kama kiungo mkabaji.

Omar Mascarell


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omar Mascarell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.