Orodha ya wakuu wa nchi Guinea

Ifuatayo ni orodha ya wakuu wa nchi wa Guinea tangu nchi imekuwa huru kutoka kwa Ufaransa mnamo 1958.

Rais wa Jamhuri ya
Guinea
Aliyepo
Alpha Condé

tangu 21 Desemba 2010
MakaziPresidential Palace, Conakry
KipindiMiaka 7
Muundo2 Oktoba 1958

Orodha ya Wakuu wa Nchi wa Guinea hariri

(Tarehe zilizowekewa mlalo zinaashiria uendelezo wa kuwa ofisini "bila kupingwa")

Muda Picha Aliyepo Ushirikishwaji Maelezo
Jamhuri ya Guinea Uhuru kutoka Ufaransa
(République du Guinée)
2 Oktoba 1958 hadi 1 Januari 1979   Ahmed Sékou Touré, Rais PDG-RDA
Jamhuri ya Mapinduzi ya Watu wa Guinea
(République Populaire Révolutionnaire du Guinée)
1 Januari 1979 hadi 26 Machi 1984   Ahmed Sékou Touré, President PDG-RDA Amefia ofisini
26 Machi 1984 hadi 3 Aprili 1984   Louis Lansana Beavogui, Kaimu Rais PDG-RDA Ametolewa kwa kupinduliwa
3 Aprili 1984 hadi 5 Aprili 1984   Lansana Conté, Mwenyekiti wa Kamati ya Kijeshi ya Urejeshi wa Taifa Jeshi
5 Aprili 1984 hadi 25 Mei 1984 Lansana Conté, Rais
Jamhuri ya Guinea
(République du Guinée)
25 Mei 1984 hadi 22 Desemba 2008   Lansana Conté, Rais Jeshi/PUP Amefia ofisini
22 Desemba 2008 hadi 23 Desemba 2008 Aboubacar Somparé, Kaimu Rais PUP Ametolewa kwa kupinduliwa
23 Desemba 2008 hadi 3 Desemba 2009   Moussa Dadis Camara, Rais Mil Kashindwa kuongoza baada ya jaribio la kutaka kuuawa
3 Desemba 2009 hadi 21 Desemba 2010 Sékouba Konaté, Kaimu Rais Mil
21 Desemba 2010 hadi Sasa   Alpha Condé, Rais RPG

Kwa Viongzo wa Kikoloni kabla ya uhuru, tazama: Viongo wa Kikoloni wa Guinea

Ushirikishwaji hariri

PDG-RDA Parti Démocratique de Guinée-Rassemblement Démocratique Africain
(Democratic Party of Guinea – African Democratic Rally)    soshalisti, chama halali kuanzia 1960-1984 tu
PUP Parti de l'Unité et du Progrès
(Unity and Progress Party)    -enye kulazimisha utii
UPG Union pour le Progrès de la Guinée
(Union for the Progress of Guinea)
RPG Rassemblement du Peuple Guinéen
(Rally of the Guinean People)
Mil Military
n-p non-partisan
edit this box

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

Serikali

Kigezo:Guinea topics