Oscar Emmanuel Peterson (15 Agosti 192523 Desemba 2007) alikuwa mwanamuziki kutoka nchi ya Kanada. Alizaliwa huko Montreal, Quebec. Hasa alikuwa anapiga muziki wa Jazz.

Oscar Peterson
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oscar Peterson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.