Osogovo ni safu ya milima ya Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Bulgaria na Jamhuri ya Masedonia Kaskazini.

Mlima wa Ruen katika Osogovo

Urefu wa kilele chake kirefu zaidi kiitwacho Ruen ni mita 2,251 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Osogovo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.