Oujda ni mji wenye wakazi 419,154 ambao upo Moroko.

Oujda
bendera ya Oujda

Mji huo ni makao makuu ya mkoa wa Mashariki.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oujda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.