Paballo Koza

Mwigizaji wa Afrika kusini

Paballo Koza (alizaliwa nchini Afrika Kusini, 19 Machi 2002) ni nwigizaji na YouTuber. Alianza kuigiza akiwa na umri wa Miaka 5 na Baadaye alitunukiwa Tuzo ya Africa Movie Academy Awards katika kipengele cha Mwigizaji Mdogo kwenye movie ya Dora's Peace

Paballo Koza
Nchi Afrika kusini
Kazi yake Muigizaji

Kazi hariri

Koza alianza kuigiza akiwa na miaka mitano kwa kufanya biashara Tangu wakati huo, amekuwa kwenye matangazo mengine kadhaa na ameigiza katika vipindi vya runinga na sinema .[1] . Mnamo mwaka 2018 aliweka video yake ya kwanza katika mtandao wa youtube . [2]

Tanbihi hariri

  1. "PressReader.com - Your favorite newspapers and magazines.". www.pressreader.com. Iliwekwa mnamo 2019-12-13. 
  2. "10 Things You Didn't Know About Paballo Koza". Youth Village (kwa en-US). 2019-11-28. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 2020-05-08.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paballo Koza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.