Papa Adrian I alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/9 Februari 772 hadi kifo chake tarehe 25 Desemba 795[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Karolo Mkuu na Papa Adriano I.

Jina la baba yake lilikuwa Theodorus.

Alimfuata Papa Stefano III akafuatwa na Papa Leo III.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.