Papa Benedikto V alikuwa Papa kuanzia Mei 964 hadi tarehe 4 Julai 964 au 965[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Benedikto V.

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.

Alimfuata Papa Leo VIII akafuatwa na Papa Yohane XIII.

Alilazimishwa kujiuzulu na Kaisari Otto I wa Ujerumani aliyempeleka kwenda mji wa Hamburg alipofariki tarehe 4 Julai 966.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.