Papa Benedikto VII

Papa Benedikto VII alikuwa Papa kuanzia Oktoba 974 hadi kifo chake tarehe 10 Julai 983[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Papa Benedikto VII.

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.

Alimfuata Papa Benedikto VI akafuatwa na Papa Yohane XIV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.